Abstract

This is a Swahili version of the policy brief Teachers’ Experiences of Teaching With Technology in Tanzania: Recommendations for policy and practice published in October 2022. Muhtasari huu wa masuala ya kisera unatoa ripoti ya utafiti wa walimu nchini Tanzania (Julai-Novemba 2021) ambao EdTech Hub iliagiza HakiElimu kuufanya ili kuchangia taarifa itakayosaidia mchakato endelevu wa serikali kuleta mageuzi ya MEWAKA katika ngazi za shule na vituo vya walimu. Dodoso zilichukuliwa kutoka katika uchunguzi wa kihistoria wa kimataifa uliohusisha takriban walimu 20,000+ , kuhusu uzoefu na changamoto zao katika ufikiaji na matumizi ya EdTech, ufundishaji na ujifunzaji, na maendeleo ya kitaaluma katika mwaka 2021, iliyoripotiwa na timu kutoka T4 Education na EdTech Hub.

Authors and contributors

Hennessy, Sara (Author)
Koomar, Saalim (Author)
Kreimeia, Adam (Author)

Citation

Hennessy, S., Koomar, S., & Kreimeia, A. (2023). Uzoefu wa Walimu katika kufundisha kwa kutumia teknolojia nchini Tanzania Mapendekezo Juu ya Sera na Utekelezaji. EdTech Hub.

https://docs.edtechhub.org/lib/ECXPS38I

Key themes

  • Teknolojia ya elimu
  • Matokeo ya kujifunza
  • Mahitaji ya mwalimu
  • Mafunzo endelevu ya taaluma ya ualimu
  • Sauti ya mwalimu

Type

  • Muhtasari Wa Sera / Policy Brief

Share:

Our Network

Meet the People Powering Change